MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Ijumaa, 16 Agosti 2013

USIKOSE SIKU KUMI (10) ZA ISHARA, MIUJIZA NA MAAJABU NA NI OPARESHENI YA UNABII WA MTU MMOJA MMOJA KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA



Tangazo hili limetengezwa na Rumafrica: +255 715 851523. 
Utaweza kupata habari za  kanisa la RGC Tabata Chang'ombe

MTUME NYAGA ASIMIKWA KUWA MTUME WA KMATAIFA RGC TABATA CHANG'OMBE


Bishop Dr. Arthur Kitoga na Rev. Josephin Kitonga
 Bishop Dr Arthur Kitonga akimkabidhi mtume Nyaga vyeti kuwa mtume wa kimataifa


 Upande wa kulia ni Bishop Jangalason
 Mtume Peter na Anna Nyaga wa RGC Miracle Center

 Bishop Dr. Arthur Kitoga na Rev. Josephin Kitonga





 Kitonga Bishop David Mwasota Bishop Muite Tumo Rev Josephin Kitonga wakimuweka wakfu Peter Nyaga kuwa mtume wa kimataifa


KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA LATOA MSAADA WA CHAKULA KWA YATIMA NA WAJANE


Mtume Peter akiwa katika madhabahu ya kanisa la RGC Tabata Chang'ombe Tabata
Mtume Peter Nyaga akiwa ameshikilia mifuko ya unga kwaajili ya kugawia yatima na wajane
Mtume Peter Nyaga akiwa na furaha baada ya Mungu kumuwezesha kupata chakula kwaajili ya yatima na wajane


































Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...