MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Jumanne, 18 Februari 2014

USIKOSE JUMAPILI HII YA MIUJIZA, ISHARA NA MAAJABU KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA



Tangazo limetengenezwa na Rumaafrica
+255 715 851523
www.rumaafrica.blogspot.com

MWINJILISTI MARODA KUTOKA MOROGORO AKIHUBIRI KATIKA SEMINA ILIYOANDALIWA KATIKA KANISA LARGC TABATA CHANG'OMBE NA MTUME PETER NYAGA

Mwinjilisti Maroda kutoka Morogoro aliweza kuhubiri habari njema za Yesu Kristo katika semina iliyoandaliwa na kanisa la RGC Miracle Center chini ya Mtume Peter Nyaga. Katika semina hiyo Mwinjilisti Maroda aliweza kuwaombea watu wenye shida mbalimbali na kukemea mapepo yaliyokuwa yakiwasumbua watu kwa muda mrefu sana. Kuna baadhi ya watu waliweza kumpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yao.

Waimbaji mbalimbali waliweza kutoa ujumbe wa Mungu kwa njia ya uimbaji, baadhi yao ni kama Upendo Nkone, Joshua Makondeko na wengine wengi.
 Mwinjilisti Maroda akihubiri








 Mtume Peter Nyaga akiwa amempakata mtoto wa mtumishi wake
 Joshua Makondeko akimwimbia Mungu wetuwa mbinguni siku hiyo






Kushoto ni Mchungaji Anna Nyaga ambaye ni mke wa Mtume Peter Nyaga





MATOKEO YA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA TABATA MAWENZI NA MTUME PETER NYAGA

Haya ndiyo matokeo ya kumtumikia Mungu. Maelfu ya watu walijitokeza katika mkutano huu ulioandaliwa na Mtume Peter Nyaga katika viwanja vya Savanna.

Tangazo limetengezwa na RUMAFRICA +255 715 851523
www.rumaafrica.blogspot.com

















































Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...