MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Ijumaa, 7 Februari 2014

MTUME PETER NYAGA AFANYA MKUTANO MKUBWA WA INJILI MBEZI MARAMBA MAWILI - DSM

Maelfu ya watu wahudhuria mkutano mkubwa wa injili, uliofanyika Mbezi Maramba mawili. Baadhi ya watu waliweza kumpokea Yesu Kristo baada ya Mtume Peter Nyaga kuhubiri. Mkutano huu ulisindikizwa na waimbaji mbalimbali kama vile Masanja Mkandamizaji, Atosha Kissava, na wengine wengi


Mtume Peter Nyaga kabla ya kuanza kuhubiri

Mke wa Mtume Peter Nyaga, Anna Nyaga




Mtume Peter Nyaga

Kulia ni Masanja Mkandamizaji na Mtume Peter Nyaga






Mgonjwa akipelekwa kwa Mtume Peter Nyaga kuiombewa (aliyevaa tshirt ya mistari)








Wazee wa Kanisa la RGC Tabata Chang'ombe




Mgonjwa akipelekwa kuombewa kwa Mtume Peter Nyaga













Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...