MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Jumanne, 11 Februari 2014

MKUTANO MKUBWA ULIOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SAVANNA NA MTUME PETER NYAGA WA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE

Mkutano mkubwa wa injili ulihudhuriwa na waimbaji mbalimbali kwaajili ya kumtangaza Yesu Kristo. Maelfu ya watu walihudhuria katika mkutano huu, na walio wengi waliokoka na wengine kufunguliwa vifungo vyao. Mtume Peter Nyaga aliweza kuhubiri na watu waliguswa sana na huduma yake.

BAADHI YA WAIMBAJI WALIOVAMIA JUKWAAA SIKU HIYO KWA UTUKUFU WA MUNGU BABA.






































 
























Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...