MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Jumanne, 18 Februari 2014

MWINJILISTI MARODA KUTOKA MOROGORO AKIHUBIRI KATIKA SEMINA ILIYOANDALIWA KATIKA KANISA LARGC TABATA CHANG'OMBE NA MTUME PETER NYAGA

Mwinjilisti Maroda kutoka Morogoro aliweza kuhubiri habari njema za Yesu Kristo katika semina iliyoandaliwa na kanisa la RGC Miracle Center chini ya Mtume Peter Nyaga. Katika semina hiyo Mwinjilisti Maroda aliweza kuwaombea watu wenye shida mbalimbali na kukemea mapepo yaliyokuwa yakiwasumbua watu kwa muda mrefu sana. Kuna baadhi ya watu waliweza kumpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yao.

Waimbaji mbalimbali waliweza kutoa ujumbe wa Mungu kwa njia ya uimbaji, baadhi yao ni kama Upendo Nkone, Joshua Makondeko na wengine wengi.
 Mwinjilisti Maroda akihubiri








 Mtume Peter Nyaga akiwa amempakata mtoto wa mtumishi wake
 Joshua Makondeko akimwimbia Mungu wetuwa mbinguni siku hiyo






Kushoto ni Mchungaji Anna Nyaga ambaye ni mke wa Mtume Peter Nyaga





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...