MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Ijumaa, 7 Februari 2014

EMMANUEL MGAYA (MASANJA MAKANDAMIZAJI) AKIHUBIRI KATIKA MKUTANO ULIOANDALIWA NA MTUME PETER NYAGA WA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KATIKA VIWANJA VYA MBEZI MARAMBA MAWILI -DSM E

Mwigizaji wa kikundi cha Ze Komedi TBC 1 Masanja Mkandamizaji na mwimbaji wa nyimbo za Injili, siku hiyo aliweza kuhubiri Neno la Mungu baada ya kukaribishwa na Mtume Peter Nyaga. Watu wengi waliweza kubarikiwa na huduma yake na baadhi ya watu waliokoka.
Mtume Peter Nyaga akimkaribisha Masanja Mkandamizaji kuhubiri
Masanja Mkandamizaji akihubiri












Mama Mtume Peter Nyaga akifurahia mahubiri ya Masanja Mkandamizaji


















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...