MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Ijumaa, 7 Februari 2014

ATOSHA KISSAVA AKIHUDUMU KATIKA MKUTANO WA INJILI ULIOANDALIWA NA MTUME PETER NYAGA WA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KATIKA VIWANJA VYA MBEZI MARAMBA MAWILI - DSM

Kila mtu hsps dunisni Mungu smemps ksrsms fulsni kes kszi yake. Atosha Kissava aliweza kutumia karama yake ya uimbaji kwa kumtukuza Mungu katika mkutano mkubwa uliohudhuriwa na maelfu ya watu. watu wengi waliguswa sana na nyimbo zake zilizobeba ujumbe mzito wenye kufariji na kutufundisha kumtumikia Mungu na kumsifu.

Atosha Kissava hivi sasa amemaliza albamu yake ya MUNGU YU MWEMA ambayo iko katika mfumo wa video na audio. Unaweza kuwasiliana naye kwa simu +255 719 926175.

 









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...