MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Jumanne, 11 Februari 2014

EMMANUEL MGAYA (MASANJA MAKANDAMIZAJI) AKIHUBIRI KATIKA MKUTANO MKUU WA INJILI ULIOANDALIWA NA MTUME PETER NYAGA WA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KATIKA VIWANJA VYA MBEZI MARAMBA MAWILI

Masanja Mkandamizaji ni mchekeshaji wa kikundi cha Ze Komedi TBC1 na ni mwimbaji wa nyimbo za Injili. Mbali na uimbaji pia ni mchungaji mtarajiwa. Mungu anamtumia katika kuhubiri injili na kumuimbia. Siku hii aliweza kuhubiri na baadhi wa watu waliweza kuokoka na kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao. Masanja baada ya kuhubiri aliweza kumuimbia Mungu wetu wa mbinguni ambapo maelfu ya watu waliweza kumshangilia kutokana na uimbaji wake na uchezaji wake.

































Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...