MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Alhamisi, 25 Julai 2013

SIKU 17 ZA ISHARA, MIUJIZA, MAJABU, UNABII, USHAURI WA MTU MMOJA MMOJA KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA

Kanisa la RGC Miracle Centre Tabata Chang’ombe jijini Dar es Salaam, limekuandalia maombi ya siku 17 za ishara, maajabu na miujiza itakayoambatana na unabii na mashauriano ya mtu mmoja mmoja. Ni kunzia tarehe 30/7-17/8/2013 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nane mchana. 

•Je unapitia majaribu makubwa katika kusaka mafanikio yako?
•Je unasumbuliwa na matatizo ya uzazi yanayokuzuia kupata watoto?
•Je umesubiri miaka mingi bila kuoa au kuolewa
•Je unateseka kusaka ajira wakati vyeti unavyo?
•Je unasumbuliwa na roho ya kukata tamaa kutokana na ugumu wa maisha?
•Je unaota ndoto mbaya za watu waliokufa, kula chakula usingizini,   kukimbizwa na nyoka na wanyama wengine hatari?
•Je majini mahaba yanakutesa na kusambaratisha ndoa yako?
•Je roho ya kutokubalika inakuandama kila mahali unapopita?
•Je biashara yako inaandamwa na mikosi kama vile chuma ulete nahasara zisizo na maelezo?.
 
Acha kuteseka, Mtume Peter Nyaga atakuombea na kukufungua  vifungo hivyo. Usikose 
Fuatilia matukukio katika mtandao www.urejeshotv.blogspot.com

Kwa maombi na ushauri +255 756 863528 au fika kanisani RGC MIRACLE CENTRE Tabata Chang’ombe jijini Dar es Salaam.

Tangazo hili limetengenezwa na Rumafrica na litakuwa katika gazeti la Nyakati na Msemakweli.

KITABU CHA NGUVU YA FEDHA NA UTAJIRI CHAPATIKA RGC TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA KWA TSH 5000 TU

Kitabu kipya Mtume Peter Nyaga, kimeendelea kuwa kivutio kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam, ambapo idadi kubwa ya watu wanamiminika kila siku kanisani hapo kusaka huku walioko mikoani wakipiga mfululizo siku kukiulizia.
Kwa mujibu wa Mtume Nyaga, kupendwa kwa kitabu hicho kunatokana na mambo muhimu yaliyomo ndani yake ambayo yakizingatiwa lazima maisha ya watu yabadilike.
Ndani ya kitabu hicho kuna masomo kama vile umuhimu wa kufanya biashara, jinsi ya kuchagua miradi au biashara za kufanya na jinsi ya kupata mtaji wa biashara . Pia utajifunza mbinu za kufanikiwa kifedha, kufanikiwa katika ujasiriamali na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali.

JIPATIE DVD YA MITUME 8 WAKIHUBIRI KATIKA KONGAMANO LA KUOMBEA AMANI TANZANI, KUMILIKI NA KUTAWALA KWA TSH 10,000
 
Upande wa mbele wa DVD

Upande wa nyuma wa DVD


Cover na sticker imetengenezwa na Rumafrica +255 715 851523








Ijumaa, 19 Julai 2013

DVD YA KONGAMANO LA MITUME SABA YAPATIKANA SASA RGC TABATA CHANG'OMBE

DVD ya Kongamno la Mitume Saba lililofanyika katika kanisa la RGC Tabata Chang'ombe kwa Mtume Peter Nyaga sasa inapatika kanisani RGC Tabata Chang'ombe kwa Tsh. 7000 tu. Utabarikiwa na mitume saba kwa wewe uliyekosa kufika na wewe wambaye ulifika katika kongamono hilo. Pia utaweza kubarikiwa na waimbaji maarufu sana hapa Tanzania kama Upendo Nkone. Miriamu Lukindo, Kenyatta, Stara Thomas, Ndani Frank, Kwaya ya Kawe Makuti kwa Mtume Onesmo Ndegi, Kwaya ya RGC Tabata Chang'ombe, Faith kutoka Kenya, Martin Murunga kutoka Kenya, Joshua Makondeko na wengine wengi.






UPANDE WA MBELE WA COVER



UPANDE WA NYUMA WA COVER

Tangazo limetengezwa na
RUMAFRICA
www.rumaafrica.blogspot.com
www.rumaafricajobs.blogspot.com
+255 715851523

Alhamisi, 18 Julai 2013

KITABU CHA NGUVU YA PESA NA UTAJIRI CHAWA LULU NA KUGOMBANIWA NA WALIO WENGI JIJINI DAR

Mamia wapigana vikumbo kukigombea , wakiri kitawafikisha mbali
Siku chache baada ya kuchapishwa kitabu kipya kilichoandikwa na Mtume Peter Nyaga, maelfu ya watu wamekuwa wakipiga simu kukiulizia. Kitabu hicho kiitwacho Nguvu ya Pesa na Utajiri kwa njia ya Neno la Mungu na Ujasiriamali, wiki iliyopita mamia ya watu walipigana vikumbo kukigombea wakati kilipotambulisha rasmi na kuwekwa wakfu kanisani hapo.

Kwa mujibu wa Mtume Nyaga, kitabu hicho kimesheheni utajiri mkubwa wa Neno la Mungu na mbinu mbalimbali za ujasiriamali ambazo endapo zitatendewa kazi ipasavyo zitaleta ukombozi mkubwa kwa waumini, kanisa na jamii kwa ujumla.

Mtume Nyaga, alisema kitabu hicho kinatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni, lengo likiwa ni kuwafikia watu milioni moja kwa muda mfupi . Aliwataka watu wanaopenda kukiuza na wasomaji wanaohitaji nakala, kuwasiliana naye kwa +255 713 937805 au wafike kanisani RGC Miracle Centre Tabata Chang’ombe jijini Dar es Salaam.

YALIYOMO KATIKA KITABU HIKI:


SURA YA KWANZA
Ahadi za Mungu za kumiliki fedha na utajiri.
Umuhimu wa kufanya biashara na miradi mbalimbali.
Jinsi ya kuchagua miradi au biashara ya kufanya.
Jinsi ya kupata mtaji wa biashara.
Jinsi ya kuondoa vikwazo vya mafanikio katika biashara.
SURA YA PILI
Jinsi shetani asivyopenda tustawi.
SURA YA TATU
Ahadi (8) za Mungu kwa wanaomtolea sadaka.
Faida za kutoa fungu la kumi.
Sadaka ya shukrani.
Baraka (4) za kuwahudumia watumishi wa Mungu.
SURA YA NNE
Uaminifu katika masuala ya fedha.
SURA  YA TANO
Sifa (25) za mjasiria mali na mfanya biashara.
Jinsi ya kufanya biashara kwa mafanikio.
SURA YA SITA
Utengenezaji wa bidhaa mbalimbali.
·         Utiaji rangi kwenye vitambaa.
·         Utengenezaji  wa aina mbalimbali za batiki.
·         Utengenezaji wa sabuni.
(i)                  Sabuni za miche.
(ii)                Sabuni  ya maji, vyombo na kufulia.
(iii)               Sabuni ya kusafisha vyoo.
(iv)              Dawa ya kuondoa madoa.
(v)                Dawa ya kusafisha marumaru.
-          Utengenezaji wa jik.
-          Unga wa lishe na tambi za dengu.
-          Mshumaa na chaki.
-          Mkaa wa karatasi.
-          Siagi ya karanga.
SURA YA SABA
 UFUGAJI BORA NA WA KISASA WA KUKU
Faida za ufugaji wa kuku.
Njia bora za kuongeza kipato kwa kutumia ufugaji  wa kuku wa  kienyeji  kwa njia za kisasa.


SIKU 6 ZA OPARESHENI FAGIA UCHAWI, MAPEPO NA MAJINI
Na unabii wa mtu mmoja mmoja
 Kanisa la RGC Miracle Centre Tabata Chang’ombe jijini Dar es Salaam, limekuandalia maombi na  maombezi ya siku 6 ya mtu mmoja mmoja kuanzia Jumanne tarehe 23/ hadi Jumapili tarehe 28/7/2013 saa mbilii asubuhi hadi saa nane mchana. Maombi hayo maalum yatashughulikia kuvunja roho zifuatazo:
  • -          Roho za zinazozuia mafanikio ya watu
  • -          Roho zinazofunga tumbo kuzaa
  • -          Roho zinazozuia kuoa na kuolewa
  • -          Roho zinazofunga kupatikana kwa ajira
  • -          Roho zinazosababisha ukate tamaa kutokana na ugumu wa maisha
  • -          Roho za kuota ndoto mbaya kama vile kukimbizwa na nyoka na wanyama wengine hatari
  • -          Majini mahaba yanayosababisha ndoa kuvunjika
  • -          Roho zinazosababisha usikubalike kila mahali unapopita
  • -          Roho zinazoharibu masomo na biashara na nguvu zote za giza.
Kwa mawasiliano, maombi na ushauri +255 713 937805 au
fika kanisani RGC Miracle Centre Tabata Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
 Wote mnakaribishwa

DVD YA MITUME 7 NA WAIMBAJI WA KIMATAIFA IMEKUUJIA SASA!!

DVD za kongamano la Mitume saba lilifanyika RGC Tabata Chang'ombe kwa Mtume Peter Nyaga zinapatikana kwa Tshs. 7, 000. Utapata kusikia Ujumbe wa mitume wafuatao:
Mtume Peter Nyaga, Mtume Onesmo Ndegi, Mtume Nyarusi, Mtume Munene, Mtume Dk. Vernon Ferdnandes wa AGAPE, Mtume Dk. Livingstone, Mtume Dk. Prosper Nteba, Nabii Joshua kutoka Afrika Kusini, Mtume Tumba kutoka Kenya na wengine wengi.

Pia utapata kusikia nyimbo za waimbaji kama vile: Stara Thomas, Upendo Nkone, Miriam Lukindo, Joshua Makondeko, Martin Murunga, Faith kutoka Kenya, Kwaya ya RGC Tabata Chang'ombe, Kwaya ya Kanisa la Kawe Makuti kwa Mtume Onesmo Ndegi, Ndani Frank, Kenyatta kutoka Kenya,  na wengine wengi.

USIKOSE KUWA NA HII COPY ITAKUBARIKI SANA.

Jumamosi, 6 Julai 2013

LIVE: MKUTANO WA KUOMBEA AMANI TANZANIA NA MITUME SABA UKIENDELEA LEO JUMAMOSI KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE













Mtume Peter  Rashid akinunua kitabu cha Nguvu za Pesa na Utajiri kutoka kwa Mtume Peter Nyaga.



MTUME PETER RASHID ABUBAKAR

Mtume Peter Rashid akisalimia waumini siku ya leo




MTUME MUNENE



 

 




MAMA BARAKA 






MAKUTI KWAYA YA MTUME ONESMO NDEGI IKIWA MADHABAHUNI KUMUIMBIA MUNGU

Mtume Onesmo Ndegi akisikiliza kwaya yake ikiwa madhabahuni.





















 



 




MTUME ONESMO NDEGI AKIHUBIRI MUDA HUU

MAISHA YA ROHONI
Yohana 4:19-24: Kama unataka maisha ya rohoni lazima uamue kuwa mtu wa rohoni. Kama huwi mtu wa rohoni huwezi kupokea vitu vya Mungu. Kumbuka chochote kinachotokana na Mungu ni cha rohoni mfano afya, pesa, mafanikio. Hakuna ujanja wa shortcut wa kupata mafanikio.

Kuna watu hawaabudu Mungu bali wanaabudu mitume wao na maskofu wao. Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu. Usijidanganye kuwa unamwabudu Mungu wakati sio mtu wa rohoni. Ni kiu ya Mungu kukuona unaishi maisha ya rohoni. Sio kila ibada inamfaa Mungu. Mungu anatafuta watu wachache wanaomfaa na sio wengi.Kuishi maisha ya rohoni ni kukutana na Mungu, hakuna jinsi ya kuktana na Mungu ukiwa sio wa rohoni. Ukitaka kukutana na Mungu lazima uwe mtu wa rohoni

Waefeso 1:3-5: Kama MUngu hajakupa kunena kwa lugha omba kwa Kiswahili, ukifanaya hivyo unalazimisha akili kufikiria maneno magumu na mawasiliano na Mungu hayapo.Baraka  za Mungu zinzkujia mara tu unapoanza kuishi maisha ya rohoni. Baraka zako ziko rohoni, kwahiyo ishio maisha ya rohoni.







































Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...