MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Jumamosi, 6 Julai 2013

LIVE: MKUTANO WA KUOMBEA AMANI TANZANIA NA MITUME SABA UKIENDELEA LEO JUMAMOSI KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE













Mtume Peter  Rashid akinunua kitabu cha Nguvu za Pesa na Utajiri kutoka kwa Mtume Peter Nyaga.



MTUME PETER RASHID ABUBAKAR

Mtume Peter Rashid akisalimia waumini siku ya leo




MTUME MUNENE



 

 




MAMA BARAKA 






MAKUTI KWAYA YA MTUME ONESMO NDEGI IKIWA MADHABAHUNI KUMUIMBIA MUNGU

Mtume Onesmo Ndegi akisikiliza kwaya yake ikiwa madhabahuni.





















 



 




MTUME ONESMO NDEGI AKIHUBIRI MUDA HUU

MAISHA YA ROHONI
Yohana 4:19-24: Kama unataka maisha ya rohoni lazima uamue kuwa mtu wa rohoni. Kama huwi mtu wa rohoni huwezi kupokea vitu vya Mungu. Kumbuka chochote kinachotokana na Mungu ni cha rohoni mfano afya, pesa, mafanikio. Hakuna ujanja wa shortcut wa kupata mafanikio.

Kuna watu hawaabudu Mungu bali wanaabudu mitume wao na maskofu wao. Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu. Usijidanganye kuwa unamwabudu Mungu wakati sio mtu wa rohoni. Ni kiu ya Mungu kukuona unaishi maisha ya rohoni. Sio kila ibada inamfaa Mungu. Mungu anatafuta watu wachache wanaomfaa na sio wengi.Kuishi maisha ya rohoni ni kukutana na Mungu, hakuna jinsi ya kuktana na Mungu ukiwa sio wa rohoni. Ukitaka kukutana na Mungu lazima uwe mtu wa rohoni

Waefeso 1:3-5: Kama MUngu hajakupa kunena kwa lugha omba kwa Kiswahili, ukifanaya hivyo unalazimisha akili kufikiria maneno magumu na mawasiliano na Mungu hayapo.Baraka  za Mungu zinzkujia mara tu unapoanza kuishi maisha ya rohoni. Baraka zako ziko rohoni, kwahiyo ishio maisha ya rohoni.







































Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...