MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Jumatano, 3 Julai 2013

LIVE: MKUTANO WA KUOMBEA AMNI TANZANI UKIENDELEA SIKU YA LEO KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE


Mkutano ukiwa unaendelea katika kanisa la RGC Miracl Cemter Tabata Chang'ombe.
Watu ni wengi sana wamefika mahali hapa kwaajili ya kumsifu Mungu na kumtukuza siku ya leo.

KIPINDI CHA SIFA NA KUABUDU












MWIMBAJI BINAFSI

ROSE AKIMWIMBIA MUNGU



KINYATTA KUTOKA KENYA AKIWASHA MOTO






FAITH KUTOKA KENYA
(Sifa ni zako)








MAKONDEKO AKIMWIMBIA MUNGU SIKU YA LEO












MARIAM MAUKI







Upendo Nkone

MTUME PETER NYAGA WA KANISA LA RGC MIRACLE CENTER TABATA CHANG'OMBE AKIFUNGUA MKUTANO SIKU LA LEO KWA MAOMBI.


Mtume Peter Nyaga alikuwa na haya machache kwaajili yako wewe unasoma kwa njia ya blog na facebook:

KUSUDU L:A MUNGU KUMUUMBA MWANADAMU ILIO AMILIKI


Ukisoma katika kitabu cha Mwanzo Mungu anazungumzia uumbaji na kumiliki. Kuna watu wamekaliwa na baraka zao na shetani. Lakini Mungu anasema tutamiliki na kutawala. Ni mapenzi ya Mungu kuona sisi watoto wake tunatembea na afya isiyo mgogoro. Ukiona tunaenda katoika maisha ya mgogoro ujue kuna mambo mawili ambayo ni Kusudi la Mungu juu ya miili yetu au kuonewa na shetani. Yesu Kristo anmatupa kutawala na kumiliki haki zetu. Kama Mungu anakuwezesha kumili  shati basi atakupa uwezo wa kumiliki gari. Mungu anapenda kukupa makubwa na sio madogo., Mungu huyuhuyu ndiye atakaye nisaidia kila kitu.

Kama shetani alishindwa kukusababisha wewe kumiliki suruali basi hataweza kukuzua kumiliki vikubwa. Utamiliki viwanja, nyumba, magari na mambo makubwa. Unachotakiwa kufanya ni kuwa mwamninfu mbele za Mungu. Fanya vile Mungu anasema ufanye, soma Neno lake kila wakati. Mungu akubnariki sana.

KARIBU SANA SIKU YA KESHO, MKUTANO UNAEWNDELEA
















 Mtume Peter Nyaga akihubiri kabla ya ibada



UPENDO NKONE ASABABISHA WAW



















MTUME PROSPER AKIHUBIRI SIKU YA LEO JUU YA NJIA SABA ZA KUPATA UPONYAJI
Utapokeaje uponyaji?
Mungu yupo ambaye analeta uponyaji. Bwana yuko tayari kukuponya
 Ayubu 5:18 Unaweza kupokea uponyaji kwa kuombewa au kwa njia mbalimbali
Njia ni hizi

1. Yesu Kristo
Malaki 4:2- Yesu ni jua la haki anauwezo wa kuponya magonjwa yote. Kama umeokoka una haki ya kuponywa magoinjwa yako. Kama unatafuta dawa ya UKIMWI Yesu ni tiba inayoweza kuunguza cells za magonjwa. Petro:2:24 Kwa kupigwa Kwake tumeponywa.

Mungu anapotaka kukuponya wewe anatuma Neno lake kwako. Mungu anauwqezo wa kuponya magonjwa yote na Yesu ni kiboko wa magonjwa yote. Neno ni Dawa, Tiba, Kufunguliwa, Suluhisho, Kufunguliwa kila kitu. Mungu ni chanzo ya kukusaidia wewe.Usiwategemee wanadamu kwani wanadamu ni vyombo na chanzo hakibadiliki. Ili  uponywe magonjwa yako tafuta ahadi za Mungu. Kuna ahadi katika Biblia zinazogusa maisha

3. Ulimi wa mwenye Kinywa.

Methali 12:18. Ulimi wa mwenye haki ni afya, ulimi wa mwenye hekima ni uponyaji. Kina dawa za kutibu malaria na kuna dawa za kuzuia malaria. Unachotamka katika ndicho unachoumba.Methali 16:23 Mwenye hekima anafundisha kinywa kwa watu sahihi na kwa wakati sahihi. Ili ufundishe kinywa chako lazimaurudi katika andiko la Mungu. Usitamke juu ya magonjwa yako, bali tamka jina la Yesu kuwa ni uponyaji.

4: Ujumbe ni balozi wa uaminifu.
Balozi mwamnifu huleta afya. Kuwa chini leo sio tatizo lakini ni mtazamo ulionao juu ya tatizo lako. Unahitaji watu sahihi katika maisha  yako. Mungu anavyombo vyake ili upone, na MUngu anaponya sio kwaajili ya mtumishi ila ni kwaajili ya lile Neno alilonalo ndani yake. Hakuna tatizo lisilo na suluhisho.

5. Moyo uliomzima au Moyo wenye nguvu.
Imani, mashaka hofu ni nguvu ya kroho, ni nguvu Methali 14:30.Moyo uliomzima ni Roho ndani yako. Akili na moyo uliotulia ni uzima na iuhai wa mwili, lakioni wivu usuda na ghadhabu ni uozo kwenye mifupa. Jiepushe na wivu, usudda n.k. kwani vya weza kuua mwili wako.Ugonjwa wa mwili unaweza kusababisha kukata tamaa. Methali 18:14. Roho ya mwanadamu itamtegemeza katika matatizo yake.

Roho dhaifu ni roho ya kukata tamaa. Mtu mwenye roho dhaifu utamuona kwa kuongea kwake. Roho yenye nguvu ni ile inyomtumaini Mungu na moyo ulio imara. Moyo ulio imara ni wenye Neno. Kwa moyo mtu huamini. Kuamini kiroho ni nguvu ya kiroho

6 Positive Thinking

MUNGU AWABARIKI






















NABII JOSHUA  AKIHUBIRI SASA HIVI

SHETANI HATISHIKI NAMAKELE YAKO NA MBWEMBWE ZAKO
Kuanzia sasa utaguswa na Neno la Mungu. Mungu hajali sana makele na mbwembwe zako. Mungu amefichika katika Neno na hofu yake. Hofu ya Bwana ndio msingi. Neno linatoka kwenye kinywa na sio kwenye kichwa na akili. Mungu hahitaji nguvu zako nyingi ili afanye kazi. Magonjwa yanaweza kutowekwa kwa nguvu za Kimungu. Mwanadamu anayo nguvu anap[oaanza kumhofu Mungu. Hofu ya Bwana ndio mwanzo wa kupata hekima.

ninataka kukuambia kuwa usitamani kabisa kufanya mapenzi (ngono) na mtumishi wa Mungu. Kuna mapepo ambayo  ni mabaya sana kwani yanaweza kuvunja watu walio wengi. Ukifanya nae ngono mapepo yanamuingia na baada yanavumka na anaanza kufilisika, na kufilisika kwa mtumishi ni kubaya sana kwani Mungu mwenyewe anaku-reject. Kuna watu wengine wanasema ukifanya ngono na mtumishi unapata upako, ninasema hiyo haiko kabisa. Ninasema wasichana msidanganyike na watumishim kufanya ngono kwani mtaachiwa mikosi. Toka enzi za kale Mungu anatumia watakatifu., mzinzi ni chombo cha Rusifa, mahuibiri ya mzinzi ni laana.

Sheatani hatishiki na makelele yako ila tembea katika misingi ya Mungu na Mungu atakubariki, tembea katika uwepo wa Mungu. Ukifanya hivyo utaona nguvu ya Mungu ikiambatana na utakatifu. Makelele ya mwanadamu hayasaidii ila NBeno la Mungu ni uzima. Tajiri marea nyingi huwa na maneno mengi na mimi ninasema anga ya utajiri imefunguka kwa jina la Yesu Kristo.

Ninamshukuru sana Mtume Peter Nyaga anapoongea lazimna aweke kifungu cha Biblia na sio maneno pasipo kufuata Neno la Mungu.

UTABIRI: Nimepokea Neno la Unabii kwa Upendo Nkone alipokuwa akiimba na kulia. Dada huyu anatatizo la kizazi, ninamtabiria kufunguka sasa. Dada huyu anatatizo la kuzaa, Mungu ataenda kupata mtoto.
Nionahitaji kuona watu wenye maumivu ya makali na ya muda mrefu








NABII JOSHUA  AKITABIRI NA KUWAOMBEA WENYE SHIDA
 Dada huyu alikuwa akisumbuliwa na kichwa na sasa ni mzima



 Mama huyu alikuwa akisumbuliwa na kifua kubana na sasa amepona




 Mtume Peter Nyaga akimsikiliza Nabii Joshua





MTUME PETER NYAGA AKIFUNGA MKUTANO NA AKIKUKARIBISHA SIKU YA KESHO.
MUNGU AKUBARIKI SANA









Picha zimepigwa na RUMAFRICA
www.rumaafrica.blogspot.com
+255 715 851523


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...