MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Ijumaa, 5 Julai 2013

LIVE: LEO IJUMAA MKUTANO WA MITUME SABA KUOMBEA AMANI TANZANIA KATIKA MADHABAHU MOJA YA RGC TABATA CHANG'OMBE



STARA THOMAS



SEFANIA



MARTIN MURUNGA KUTOKA KENYA





UPENDO NKONE
















MTUME PETER NYAGA AKIHUBIRI NA KUFUNDISHA JUU YA KUMILIKI NA KUTAWALA FEDHA NA UTAJIRI
Bwana amezungumza na mimi kuwa watu milioni moja wanakisubiri kitabu changu cha NGUVU ZA FEDHA NA UTAJIRI. Pesa ilikuwa haizungumzii pesa na watu walikuwa hawana pesa na ni maskini. Walokole wamekuwa wakilia sana kanisani na baadae wanakuja kuomba pesa. Kama kanisa tunatakiwa kuwafundisha watu kufika mbinguni na kupata fedha. Roho inakusaidia kufika mbinguni na pesa inakusaidia wewe kuishi duniani. Pesa nio Mungu wa dunia.

Huduma ya Yesu ilikamilishwa kwa pesa. Alimtumia Petro mvua samaki na alimuuliza pesa iko wapi, alimwambia Petro nenda  baharini na ukatoe shekeli kwa samaki. Nguo zako ulizovaa ni pesa na nywele zako kuwa nzuri ni pesa. Fedha ni  dhahabu ni mali ya Mabwana wa Mabwana. Mwanzo 4:3 Ibarahimu alikuwa tajiri kwahiyo kuwa tajiri ni wajibu wetu watu tuliokoka

Kuwa maskini na kuwa tajiri ni uamuzi wako. Ukiwa na pesa utakula kile unachotaka, na unaweweza kuingia hotelini na kula chochote bila ya kuuliza pesa na ukimaliza kula unatoa pesa ili wanahitaji ulipe. Asiye na pesa mara nyingi akiwa hotelini huuliza bei ya chakula kabla hajala ili aone kama anaweza kulipa.

Kuna watu wana pesa lakini hawana fedha lakini kwa kupitia kitabu hiki utaenda kupata ufahamu.

Tuombe: Yesu Pesa na dhahabu ni mali yako, nguvu ya pesa na utajiri kwa kila mtu atakayesoma kitabu hiki akwe na mali na utajiri kama Ibrahimu. Watu milioni Moja wakatakjirike na kila neno likiwa ndani ya kitabu hiki likafanye kazi katika biashara yako. Nimeomba na kuamni Amina.

MUNGU AKUBARIKI SANA

Tembelea
www.urejesho.blogspot.com
www.rumaafrica.blogspot.com











KITABU CHA NGUVU YA PESA NA UTAJIRI
Cover limetengenezwa na RUMAFRICA piga simu +255 715 851523 Tembelea www.rumaafricajobs.blogspot.com na www.rumaafrica.blogspot.com


PRAISE TEAM WAKIMKARIBISHA MTUME MUNENE KWA NYIMBO ZA SIFA NA KUABUDU







MTUME MUNENE AKIHUBIRI MUDA HUU KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA

Somo la leo ni juu ya


KUREJESHA NYOTA YA MAFANIKIO ANGANI


Nyakati 1:4:10: Kufanikiwa kwas  mtu hakutegemei  tu bidii yake. Kuna watu wanabidi na wanafanya kazi sana lakini hawafaidiki. Ulimwengu wa roho ni halisi na unaona kama unavyoona. Mungu asipopa uwezo wa kutawala ulimwengu wa kiroho

Kuna watu wa aiana tatu wakitamka kwako litaumba miungu kwako

1. Mzazi: Mzazi akitamka jambo anaweza kuumbia ugonjwa, mafanikio, na kila kitu alichotamka.
2.Kuna ulimwengu wa roho unaumbwa na wanadamu. Kuna baadhi ya wanadamu wakitamka jambo katika maisha yako kinatokea

KUNA MAMBO MANNE YANAYOFUNIKA NDOTO YAKO
1. Uwezo wa laana. Laana ikitamkwa juu yako inakutana na kiwakilishi chako angani. Kuna nyota iko angani kwaajili yako
2. Uwezo wa ufalme wa Giza: Kila wengu la shetani linafunika nyota yako angani. Hesabu 23:1

Hesabu 23:1hii ni wiki ya saba saba kumekuwa na mitume saba, siku ya saba, madhabahu saba, kondoo saba. Baada ya madhabahu saba kuna mtu anakutana na Mungu kwako wewe uliyefika hapa kanisani. Ninasema Mungu anashuka na haijalishi imani yako. Kuna Roho ya mafanikio katoika mwezi huu wa saba.Mungu  hachanganyikiwi anajua kuaanda majira yako na kuna binti anakwenda kuolewa katiika siku ya saba. Kuna mama tasa leo anakwenda kupata mimba.


MWANADAMU ANAWEZA KUPANUA ENEO au MIPAKA

1. Mawazo yako: Mwanadamu akiweka giza kwa mwanadamu hutapata mafanikio. Mtu akikupa milioni 5 unashindwa kutumia kwasababu mawazo yako yamefungwa na hizo pesa utatumia katika mambo mabaya.
2.Kupanua Moyo wako: Bwana anasema linda moyo wako kuliko vitu vyako vyote. Kizazi hiki kimejaa na watu wenye magonjwa ya moyo, watu wana mawazo mengi, utakuta binti anaonekana mzee kutokana na mawazo ya kimasha kuwa magumu.
3. Kupanua mikono yako: Upanue utndaji wako wa  kazi. Mkono wa Bwasna usipokuwepo juu yako hakuna mafanikio























































NABII JOSHUA AKIHUBIRI NA KUTABIRI SIKU YA LEO











NABII JOSHUA AKITABIRI MAISHA YA WATU MUDA HUU RGC TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA

Nabii Joshua akimtabiria mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania kupata mtoto. Amemuombea na kumpa maji aliyoombea, na baadae kumpa anywe.
 Kulia ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania Upendo Nkone akitabiriwa na kuombewa





 










 
















NABII JOSHUA AKIMTABIRIA UPENDO NKONE KUVUKA NJE YA TANZANIA KWA HUDUMA YAKE YA UIMBAJI.







AKIZIBARIKI CD ZA UPENDO NKONEWatu wakinunua CD za Mwimbaji Upendo Nkone.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...