MTUME NYAGA HR
AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]
Alhamisi, 18 Aprili 2013
MTUME PETER NYAGA WA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE AGUSA MIOYO YA WATU JIJINI DAR ES SALAAM
Kutoka RGC Miracle Centre Tabata Chang’ombe
Mtume Nyaga agusa moyo wa jamii Dar
Mitume Manabii watikisa jiji wiki hii
Ishara, maajabu na miujiza vyatawala madhabahu ya RGC
Wengi wapiga kambi kanisani kuwahi vipindi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida viti ndani ya ukumbi wa kanisa la RGC Miracle centre Tabata Chang’ombe jijini Dar es Salaam kwa muda mrefu vimekuwa vikikosa mkaliaji kutokana na wahudhuriaji kusikiliza mahubiri wakiwa wamesimama kwa sababu ya upako unaotawala ndani ya nyumba hiyo ya ibada wakati wa kongamano la kihistoria la siku 40 linaloendelea ndani ya kanisa hilo.
Licha ya kongamano hilo la kihistoria kuchukua muda mrefu, lakini idadi ya watu wanaomiminika kanisani hapo kuhudhuria kongamano imekuwa ikiongezeka siku hadi siku hali ambayo imekuwa ikiwashangaza wengi.
Mbali na ishara, miujiza na maajabu kutawala eneo hilo, jambo jingine ambalo limeonekana kuwavutia na kuwashangaza wengi ni hatua ya kiongozi wa kanisa hilo mtume Peter Nyaga, kuamua kuanzisha program maalum ya mafunzo ya ujasiriamali ambayo imeonekana kuvuta watu wengi hasa wenye kipato cha chini na wasio na ajira .
Wengi waliohudhuria mafunzo hayo walimshukuru na kumsifu mtume Nyaga, kwa ubunifu wake kwani wanaamini pindi watakapofika mwisho wa mafunzo hayo ya siku 40 yatakuwa msaada mkubwa katika maisha yao. Walisema hii ndiyo sababu iliyowafanya wengi wao kuamua kuhama majumba yao na kupiga kambi kanisani hapo ili kuhakikisha hawakosi kipindi hata kimoja.
Tangazo limetengezwa na RUMAFRICA
Jambo jingine lililosifiwa na wahudhuriaji mbali na mafunzo ya ujasiriamali ambayo yanaonekana kuwakomboa wengi tangu yalipoanza ni hatua ya mtume Nyaga, kuwaleta watumishi wa Mungu kutoka madhehebu tofauti kwa ajili ya kuwahudumia kiroho baada ya mafunzo ya ujasiriamali jambo ambalo walisema ni la kipekee hasa katika kipindi hiki ambapo ushirikiano miongoni mwa watumishi wa Mungu unaonekana kupungua nguvu.
Pia katika kuendeleza kuboresha maisha ya watu wanaobahatika kuhudhuria kongamano hilo la kihistoria, wiki hii mtume Nyaga, amealika wataalam wa afya kutoka nchini Malaysia ambao watafundisha nguzo nne muhimu za kuishi maisha mazuri na yenye afya bora.
Je unajua magonjwa haya yanasababishwa na nini mwilini mwako?
*Saratani ya utumbo mkubwa
*Vidonda vya tumbo
*Shini kizo la damu |
*Kisukari |
*Kufunga na kukosa choo mara kwa mara
*Figo kushindwa kufanya kazi vizuri
*Matatizo ya moyo
*Kukua kwa tezi ya prostrate (Prostrate gland)
*Kihararusi/Stroke
*Ngiri
*Magonjwa ya ngozi
*Unene uliopindukia
*Lehemu/ Cholesterol
*Harufu mbaya mdomoni na kikwapa
Usikose RGC Miracle Centre wiki hii, kwani wataalam hawa waliobobea watakufundisha namna ya kuwa na afya bora huku watumishi mbalimbali wenye upako wakikuombeea na kukufungua kutoka katika vifungombalimbali vya shetani vilivyokutesa kwa muda mrefu.

Jumapili, 14 Aprili 2013
Ijumaa, 12 Aprili 2013
KONGAMANO LA SIKU 40 ZA KIHISTORIA ZA UDHIHIRISHO WA HUDUMA TANO GRC TABATA CHANG'OMBE
Limetengenezwa na Rumafrica
www.rumaafrica.blogspot.com
www.rumaafricajobs.blogspot.com
Simu: +255 715 851523
Sinza Afrika Sana, Dar es Salaam, Tanzania
NTUME NYAGA AFANYA MKUTANO WA INJE- LAWITI
Mtume Peter Nyaga akihibiri
Mtume Peter Nyaga
Watu wakiwa katika maomb
Watu wakipokea baraka za Mungu
Kama ilikawaida ya blog yangu hii hua ina kuleta mambo yangu na mambo
mengine yanayo husu jamii bila ya kusahau gospel yaani wasanii wa
nyimbo za Ijili. Hii haijawahi kutokea hapa kisiwani watu kuhudhuria
katika mkutano wa ijili kama hivi. kwakweli wasanii tupo juu maana
wasanii wa nyimbo za injili wamekiteka kisiwa hiki kwa kumiminina watu
katika uwanja wa tumbatu uliopo hapa Zanzibar. JOSUPH NYUKI, NEEMA
MWAIPOPO na JANE MISSO wame ikama ta Zanzibar wakifuanata na mtume PETER
NYAGA.
umati wa watu ulio kusanyika katika mkutano huu ambao ulifanyika kuanzia tarehe 21-23mwezi huu huu wa kumi mwaka 2011
jamani hii ni Zanziamakweli mambo yana badilika
picha
hii nilipigwa kwa kustukizwa maana nilikua mshamba kwa kuona umati kama
huu kwangu ilikua ni ajabu kwa mambo haya kutokea kisiwani hapa.
mtume Nyaga akiwaombea watu.
mzee akitoa mambo kwa msisitizo
mtume Nyaga ndo huyu hapa akiwa jukwaani Zanzibar
Mtume Peter Nyaga akihubiri
IKAFIKA ZAMU YA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA IJILI YAANI WASANII
tutake
tusitake wasanii tuna hitajika tu maana licha wa mahubiri watu pia wali
fuata wasanii wa nyimbo za ijili ndio maana uwanja ukajaa hivyo na
kwakweli walitenda haki
Neema Mwaipopo na Jane Misso wakipagawisha watu jukwaani
Mwaipopo akiwaimbia "Jamani rahaaaa jipemwenyeweeeeee" ilikua sio mchezooo
Jane misso akirudi kukaa
waandishi wa habari pia walikuwepo
kitu
kilikwenda mpaka usiku hapa Nyuki ndo alisimama kwa ajili ya kuimba
watu walipiga kelele na wengine kukanyagana kwaajili ya kuona manjonjo
ya huyu bwana. kama huja wahi kumuona jukwaani basi pole na utakapo
muona uniambie. kweli sanaa ni kipaji toka mouoni
akianza manjonjo
haya atayari ana anza huyooo
ilikua
tayari usiku ila watu walikomaa kuangalia shoo hao ni baadhi ya
wachungaji na huyo mwenye suti nyeupe ni Askofu wa makanisa ya
kipentekoste Zanzibar Bishop: Obeid.weweeeee
Jumatano, 10 Aprili 2013
KANISA LA RGC LINAKUPA OFA MAALUMU YA UJASILIAMALI
Limetengenezwa na Rumafrica
www.rumaafrica.blogspot.com
www.rumaafricajobs.blogspot.com
Simu: +255 715 851523
Sinza Afrika Sana, Dar es Salaam, Tanzania
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)