MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Jumamosi, 26 Oktoba 2013

MTUME NYAGAAKISHIRIKIANA NA MCHUNGAJI ISAACK MWITI WAWEKA HISTORIA YA KIDUMA TEGETA ENEO LA WAZO KWA KUHUBIRI NENO LA MUNGU

Kama wewe unashindwa kuhubiri Nenola Mungu wako wanaweza kuhubiri Neno la Mungu. Kama wewe hufanyi kazi ya Mungu, Mungu wetu anao watu wa kufanya kazi yake. Hii ilijidhihirishkatika mkutano uliofanyika wiki iliyopita Tegeta eneo la Wazo ambapo maelfu ya watu walihudhuria mkutano huo. Watu walifunguliwa katika vifungo walivyofungwa kwa muda mrefu. Watu waliweza kumgeukia Yesu Kristo kwa kukata shauri ya kuokoka.

Mtume Peter Nyaga sasa kuungurumisha  Mkutano mwingine wa Injili Kigamboni katika viwanja vya Kanisa la NCM FOUNTAIN OF LIFE-MWONGOZO Siku ya tarehe 04 hadi 08/11/2013. USIKOSE MUUJIZA WAKO


ANGALI MATUKIO YA MKUTANO WA TEGETA

Tangazo limetegenezwa na Rumafrica +255 715 851523


 Mtume Peter Nyaga akitafakari
 Wachungaji na mitume na Manabii waliohubiri

Mtume Peter Nyaga wa akanisa la RGC Tabata Chang'ombe akiomba


SIKU NYINGINE


SIKU ILIYOFUATA



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...