MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Jumanne, 29 Aprili 2014

MTUME PETER NYAGA NA MWINJILSTI JAILO MALODA WAFANAYA MAKUU KATIKA MKUTANO WA MOROGORO YOTE KWA YESU SIKU YA JUMAPILI

"Morogoro Yote kwa Yesu" huo ndio usemi unayotamba sasa mkoani Morogoro kwa sasa, watumishi wa Mungu wameandaa mkutano huu wa kumtangaza Yesu Kristo na kuwafungua watu waliofungwa na mateso mbalimbali. Siku ya Jumapili watu walimimika katika eneo la tukio kushuhudia jinsi gani Mungu anafanya makuu kwa kupitia watumishi wake waliopo hapa dunia. Watu wenye mapepo walionekana kugalagala chini wakihangaika na kulia kwa maana mapepo yalikuwa yakiunguzwa moto wa Yesu Kristo. Hakika watu wa Morogoro sasa wanajivunia ohuyu Bwana Yesu kwa hale hyaliyotokea jana na yatakayoendelea kutokea kwa kipindi kizima ambacho watumishi hawa wa Mungu watakuwa wanafanya kazi ya Mungu

Mtume Peter Nyaga

Mtume Peter Nyaga wa kanisa la RGC Tabata Chang'ombe Dar es Salaama ameacha kanisa lake kwa lengo la kuja kuwasaidia hawa watu wa Morogoro walioteseka kwa muda mrefu kwa magonjwa na taabu mbalimbali, wametumikishwa na shetani vya kutosha. Wewe uliye Morogoro na mikoa ya jirani fika katika eneo la tukio upokea muujiza wako.


 







Tangazo limetengezwa na Rumafrica +255 851523

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...