MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Ijumaa, 21 Machi 2014

TUNAMWIMBIA MUNGU WETU KWA SAUTI NA VINANDA

Mungu wetu ni Mungu wa sifa, na kama Mungu wetu ni Mungu wa sifa basi huu ni wakati wa kumpa sifa zake kwa njia ya uimbaji. haijalishi sauti yako iko nje ya ufunguo au ndani ya ufunguo, una haki mbele za Mungu kupaza sauti yako na kumuimbia Mungu wa mbinguni. Usiwe mtu wa kushangaa unapoona wenzako wanamsifu Mungu kwa kuimba. Tumechoka na kusikia watu wakiiimba na sisi kubaki tunashangaa kama vile hatuna sauti za kumuimbia Mungu. Rafiki yangu anza sasa kupenda kumuimbia Mungu, unapoona kanisani au mahali popote pale watu wamekusanyika kwaajili ya sifa ninakuomba ujichanganye nao kwani ndani ya sifa kuna mpennyo mkubwa sana wa kupokea baraka za Mungu.

TUONE WENZETU WALIVYOKUWA WAKISIFU KATIKA KANISA LA RGC MIRACLE CENTER TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA.









IJALI FAMILIA YAKO NA IOMBEE ISONGE MBELE

Kama mkristo wa kweli huna haja ya kuichukia familia yako, ni muda wako mzuri wa kuwa na familia yako. Unapokuwa karibu na familia yako unaweza kutambua tabia ya mwanao au ndugu yako unaishi naye vizuri na unaweza kumsaidia pale unapoona sasa ameanza kupotea. Muombe sana Mungu wako ailinde familia yako na aiepushe na tabia mbaya kama za ulevi, kutuumia madawa ya kulevya, uzinzi, umalaya, wizi na tabia nyingi kama hizo. Iombee familia yako asubuhi, mchana na jioni na ikiwezekana funga kwaajili ya familia yako. Ifundishe familia yako kumjua Mungu na kusoma Neno lake kwa kuelewa katika kitabu kitakatifu yaani BIBLIA.

Familia ya Mtume Peter Nyaga




MOROGORO YOTE KWA YESU AWAMU HII MTUME PETER NYAGA NA MWINJILISTI MALODA


Tangazo limetengezwa na Rumafrica +255 715 851523

Jumamosi, 15 Machi 2014

MOROGORO YOTE KWA YESU: USIKOSE BARAKA HIZI


Tangazo limetengenezwa na Rumafrica +255 715 851523

WAZUNGU WAMTANGAZA YESU KRISTO KATIKA KANISA LA RGC MIRACLE CENTER TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA SIKU YA JUMAPILI

Jumapili iliyopita kulikuwa na uwepo wa Mungu katika ibada iliyofanyika katika kanisa la RGC Tabata Chang'ombe kwa Mtume Peter Nyaga. Ibada hii ilitembelewa na wageni kutoka nchi za Ulaya.  Wageni hawa walifurahishwa na kubarikiwa na ibada ya mahali hapo na pia walipata muda wa kumwimbia Mungu wetu.

Katika Jumapili iliyopita wageni kutoka Ulaya waliweza kufika katika kanisa la Mtume Peter Nyaga na kufanya kazi ya Mungu kwa njia ya kuhubiri na kuimba. Mungu aliwatumia na watu waliohudhuria walijifunza jambo

Tuone jinsi ilivyokuwa













 








Jumatatu, 3 Machi 2014

MKUTANO ULIOFANYAWA NA KANISA LA RGC TABATA CHANG.OMBE KWA MTUME PETER NYAGA

Mungu wetu ni Mungu wa kuinuliwa na kusifiwa na kila mtu. Mungu wetu amekuwa akifanya matendo makuu pkwa kupitia huduma ya RGC Miracle Center chini ya Mtume Peter Nyaga. Tumeona watu wengi wakiokolewa katika mikutano mbalimbali inayofanywa na mtumishi wake na mtiwa mafuta Mtume Peter Nyaga. Mungu amekuwa akisikia maombi ya mtumisjhi wake na kuwaponywa wagonjwa na wenye shida mbalimbali, mapepo yamekuwa yakiwatoka walio wengi na kuwaacha wakiwa huru. Mungu ameleta kicheko na furaha katika familia nyingi kwa kupitia mtumishi wake Mtume Peter Nyaga. Kazi ya Mungu inaonekana machoni mwa walio wengi kwa njia ya ishara na miujiza.

Mtume Peter Nyaga wa kanisa la RGC Tabata Chang'ombe

Kanisa la RGC Tabata Chang'ombe limekuwa bega kwa bega na waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania kwa kazi ya Bwana. Waimbaji hawa wanatoka katika makanisa mbalimbali lakini wameamua kuungana na Mtume Peter Nyaga kufanya kazi ya Bwana. Hakika huduma yao ya uimbaji imefanyika baraka katika mikutano na semina zinazofanywa na kanisa hili. Mungu azidi kuwalinda waimbaji hawa na kuwapa nyimbo zingine nyingi zenye kugusa nafsi za watu na kuwaokoa.

Tuone baadhi ya waimbaji hawa wakifanya kazi katika moja ya mkutano uliofanywa na kanisa la RGC Tabata Chang'ombe


Kulia ni Neema Gasper

Christina Matai akimtumikia Mungu siku hiyo

Christina Matai

kulia ni Neema Gasper akiwa akifuatiwa na Kenyata

Christina Matai

Christina Matai

Christina Matai


 Tumaini Njole
  Tumaini Njole

 Tumaini Njole


 Tumaini Njole

 Tumaini Njole

 Tumaini Njole


 Tumaini Njole



 Tumaini Njole


 Tumaini Njole


 Tumaini Njole


 Tumaini Njole


 Tumaini Njole


Kenyatta


Kulia ni Atosha Kissava

 Atosha Kissava

Atosha Kissava

Unaweza kupata habari zingine za Mtume Nyaga katika blogu hii
www.rumaafrica.blogspot.com

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...