MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Ijumaa, 21 Machi 2014

IJALI FAMILIA YAKO NA IOMBEE ISONGE MBELE

Kama mkristo wa kweli huna haja ya kuichukia familia yako, ni muda wako mzuri wa kuwa na familia yako. Unapokuwa karibu na familia yako unaweza kutambua tabia ya mwanao au ndugu yako unaishi naye vizuri na unaweza kumsaidia pale unapoona sasa ameanza kupotea. Muombe sana Mungu wako ailinde familia yako na aiepushe na tabia mbaya kama za ulevi, kutuumia madawa ya kulevya, uzinzi, umalaya, wizi na tabia nyingi kama hizo. Iombee familia yako asubuhi, mchana na jioni na ikiwezekana funga kwaajili ya familia yako. Ifundishe familia yako kumjua Mungu na kusoma Neno lake kwa kuelewa katika kitabu kitakatifu yaani BIBLIA.

Familia ya Mtume Peter Nyaga




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...