MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Ijumaa, 21 Machi 2014

TUNAMWIMBIA MUNGU WETU KWA SAUTI NA VINANDA

Mungu wetu ni Mungu wa sifa, na kama Mungu wetu ni Mungu wa sifa basi huu ni wakati wa kumpa sifa zake kwa njia ya uimbaji. haijalishi sauti yako iko nje ya ufunguo au ndani ya ufunguo, una haki mbele za Mungu kupaza sauti yako na kumuimbia Mungu wa mbinguni. Usiwe mtu wa kushangaa unapoona wenzako wanamsifu Mungu kwa kuimba. Tumechoka na kusikia watu wakiiimba na sisi kubaki tunashangaa kama vile hatuna sauti za kumuimbia Mungu. Rafiki yangu anza sasa kupenda kumuimbia Mungu, unapoona kanisani au mahali popote pale watu wamekusanyika kwaajili ya sifa ninakuomba ujichanganye nao kwani ndani ya sifa kuna mpennyo mkubwa sana wa kupokea baraka za Mungu.

TUONE WENZETU WALIVYOKUWA WAKISIFU KATIKA KANISA LA RGC MIRACLE CENTER TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA.









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...