MTUME NYAGA HR

AGALIA EMMANUEL TV LIVE [WATCH EMMANUEL TV LIVE]

Jumapili, 18 Mei 2014

MTUME PETER KWA MSAADA WA MUNGU AFANYA MAKUU KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE


Mungu wetu ni Mungu wa huruma na upendo. Tunamwabudu kwasababu tunaona matunda kutoka kwake. Mungu amekuwa faraja kwetu, na anatusaidia katika mengi. Tunamshukuru Mungu katika ibada hii watu waliweza kusikia ujumbe wa Mungu kwa kupitia mtumishi wake Mtume Peter Nyaga. Watu waliweza kupokea kile walichokuwa wanakihitaji na wale ambao hawakupokea siku basi tunaamini Mungu atakwenda kuwapatia. Waliofungwa na nguvu za giza walifunguliwa. Ndugu yangu usiwaze wala kutamani kukosa nyumba hii ya Bwana kwani kuna uzima na faraja ndani ya nyumba hii.

Kanisa letu liko Tabata Chang'ombe linaitwa RGC Miracle Center






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...